kaka ajiingiza kwenye uhusiano wa kimapenzi na dada yake...mwishowe ampa mimba

Timu ya ‘Leo Tena‘ iligusia hii Hekaheka mwisho wa wiki iliyopita ambapo kisa chote kinahusu mtu na dada yake kuwa na uhusiano wa kimapenzi.
Ndugu wamesema walijaribu kuwatenganisha lakini hakuna kilichobadilika, wameendelea na uhusiano wa kimapenzi na hata kuna wakati dada huyo na mke wa kaka yake waliwahi kuwa na ugomvi… baadae mwanaume huyo aliwahi kuonekana akihangaika kutaka kumtoa ujauzito dada yake ambao majirani wanahisi ni ujauzito wa kaka huyohuyo.
Mke wa jamaa huyo amesema huwa wanalala chumba kimoja yeye, mumewe na mdogo wa mume wake… mwanamke huyo amesema mumewe alidai hana uwezo wa kupanga vyumba viwili.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo