Mwili wa marehemu Insp GERALD RYOBA aliyefariki jana kwenye ya gari
iliyosababishwa na mafuriko,umeagwa hii leo mjini DODOMA kabla ya
kusafirishwa kwenda kuzikwa mkoani GEITA siku ya kesho tarehe 6.
Wanaotarajiwa kuzikwa GEITA kesho ni pamoja na GERALD,mkewe FIDIA na
watoto wao wawili GERALD na GODWIN,Dereva wao RAMADHANI aliyekuwa
akiwaendesha yeye atasafirishwa kwenda Dar es Salaam leo tarehe 5 na
kufikishwa nyumbani kwake Kilwa road kwa heshima za mwisho kabla ya kupelekwa Lindi kwa mazishi.
Binti wao wa kazi anatarajiwa kuzikwa Iringa kwa wazazi wake
Taarifa hii ni kwa mujibu wa Afande KITUNDU- ASP ADMIN WA POLISI Tanzania
MUNGU AWAPUMZISHE KWA AMANI.

Taarifa hii ni kwa mujibu wa Afande KITUNDU- ASP ADMIN WA POLISI Tanzania
MUNGU AWAPUMZISHE KWA AMANI.

