Msanii nguli na ‘The Hit maker’ wa singo mya ya Je Utanipenda, Diamond Platnumz amekuwa msanii wakwanza kwa mwaka 2016 kufungua kipindi maarufu cha PAPASOkinachoruka hewani kupitia TBC FM kila siku za Jumatatu-Ijumaa kuanzia saa 1:00 hadi 4:00 usiku. Katika mahojiano na Mtangazaji wa kipindi hicho D’jaro Arungu, msanii Diamond amezungumza mengi kuhusu muziki na mambo mengine mengi ambayo hukuwahi kuyasikia. Tazama video hizi hapa chini kufahamu yote kwa undani.
Video tatu za Diamond Platnumz akifunguka kila kitu kuhusu yeye
By
Edmo Online
at
Friday, January 22, 2016
