Breaking News: Waziri awasimamisha kazi vigogo wanne leo hii

Waziri wa uchukuzi na mawasiliano Profesa Makame Mbarawa amewasimamisha kazi watendaji 4 wa kampuni ya huduma za meli Mwanza kutokana na kufanya kazi kinyume na sheria za utumishi.

Waliosimamishwa ni Kaimu Meneja Mkuu Fabian Mayenga, Mwanasheria Josephat Mshumbusi, Kaimu Meneja Ununuzi Abdallah Rumila pamoja na Meneja Miradi Alex Mchaura.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo