Basi la abiria la kampuni ya Luwinzo linalofanya safari za Dar es salaam
- Njombe limegongana na lori asubuhi hii likitokea Njombe kuelekea Dar.
Abiria wawili wameripotiwa kufariki dunia huku majeruhi wakiwa ni wengi. Ajali imetokea
maeneo ya Kinegembasi Kata ya Mbalamaziwa wilayani Mufindi.
Bonyeza hapo chini usikie sauti ya jinsi ajali hiyo ilivyotokea 
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi