Picha za Ugeni wa Rais John Magufuli Ikulu jijini DSM

Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha kisha kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi ya CCM Alhaji Abdallah Bulembo Ikulu jijini Dar es salaam January 4,2016

Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha kisha kufanya mazungumzo na Mwenyekiti wa Jumuia ya Wazazi ya CCM Alhaji Abdallah Bulembo Ikulu jijini Dar es salaam January 4,2016
Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha na kufanya mazungumzo na Prof. Mussa Juma Assad Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Ikulu jijini Dar es salaam January 4, 2016
Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana baada ya kufanya mazungumzo na Prof. Mussa Juma Assad Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Serikali (CAG) Ikulu jijini Dar es salaam January 4, 2016.

Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania MheshimiwaDkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha Mkurugenzi wa Mashtaka DPP Bw. Biswalo Eutropius Mganga Ikulu jijini Dar es Salaam.
Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akimkaribisha kasha kufanya mazungumzo na Sheikh Abubakar Zuber Ally Mufti Mkuu wa Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam January 4, 2016
Rais wa jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt. John Pombe Magufuli akiagana baada ya kufanya mazungumzo na Sheikh Abubakar Zuber Ally Mufti Mkuu wa Tanzania Ikulu jijini Dar es salaam January 4, 2016- Picha Zote Na IKULU


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo