Mkurugenzi mtaendaji wa halmashauri ya wilaya ya Makete Bw. Francis Namaumbo akifafanua jambo kwenye kikao cha baraza la madiwani Makete
Mgombea Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Makete (CHADEMA) ambaye ni diwani wa kata ya Matamba Mh. Ng'ondya akijinadi kuomba kura
Mgombea Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Makete (CCM) ambaye ni diwani wa kata ya Tandala Mh. Egnatio Mtawa akijinadi kuomba kura
Madiwani wakipiga kura
Mgombea wa CHADEMA akipiga kura
Uhesabuji kura za mwenyekiti wa halmashauri ukiendelea
Mwenyekiti wa muda wa kikao hicho akitangaza matokeo ya mwenyekiti, kulia ni mbunge wa jimbo la Makete Prof. Norman Sigalla
Matokeo ya mwenyekiti yakitangazwa
Mh. Jison Mbalizi mgombea umakamu mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Makete kupitia CCM ambapo aliibuka mshindi
Diwani wa Ipelele Mh Mwipelele Mbogela akimuuliza swali Mh Jison Mbalizi
Mgombea umakamu mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Makete kupitia CHADEMA Mh Asifiwe Luvanda akiomba kura
Kura za makamu mwenyekiti zikipigwa
Baraza la madiwani Makete
Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Makete Mh Egnatio Mtawa akikaribishwa kwenye kiti chake mara baada ya kutangazwa mshindi
Mwenyekiti wa halmashauri ya wilaya ya Makete Mh Egnatio Mtawa (kulia) akiwa na makamu mwenyekiti wa halmashauri hiyo Mh. Jison Mbalizi
Afisa utumishi wa wilaya ya Makete Bw. Nicodemus Tindwa
Mbunge wa jimbo la Makete Prof Norman Sigalla akifuatilia zoezi hilo
Mbunge Prof Sigalla akitoa neno la shukrani
Mwenyekiti wa halmashauri ya Makete Mh Egnatio Mtawa akifafanua jambo
Msoloma Sanga akizungumza na mwanahabari Henrick Idawa wa Green Fm
Mwenyekiti wa CCM wilaya ya Makete Francis Chaula akizungumzia ushindi wa chama chake katika nafasi hizo
Henric Idawa akimuhoji Mbunge wa Makete Prof Norman Sigalla
Mkurugenzi mtendaji wa halmashauri ya wilaya ya Makete Francis Namaumbo akizungumza na mwandishi wetu
Mwenyekiti mstaafu wa halmashauri ya wilaya ya Makete ambaye pia nidiwani wa kaya ya Lupila Mh Daniel Okoka
Kusoma habari kamili BONYEZA HAPA