BREAKING NEWS: Meli ya Royal inayotoka Unguja kuelekea Pemba inaungua moto baharini muda huu

Meli ya Royal iliyokuwa ikitokea Unguja kuelekea Pemba inaungua moto baharini muda huu.

UPDATES 
Zaidi ya abiria 300 wamenusurika kifo kufuatia boti waliokuwa wakisafiri kuwaka moto baharini lakini moto huo umeweza kuzimwa kwa msaada wa meli ya Serengeti na kuokoa abiria hao zaidi ya 300 waliokuwa wakisafiri na boti hiyo.


Meli ya Serengeti iliyokuwa inatokea Pemba kwenda unguja imefanikiwa kuokoa abiria na Mali zao.hivyo hakuna mtu aliye poteza maisha wala kujeruhiwa katika ajali hiyo.

Sauti yenye stori yote kutoka ITV hii hapa, pole kwa watu wetu wote waliopata msukosuko kwenye ajali hii.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo