Video ya Majambazi Moshi kufyatua risasi na kuiba mkate wakidhani ni mamilioni

Ni tukio ambalo lilitokea Moshi Kilimanjaro ambapo Majambazi wawili wakiwa na Pikipiki walimvamia muuza duka Beatrice wakati akirudi nyumbani usiku wakiamini amebeba pesa kwenye mfuko, stori zaidi bonyeza play kwenye hii video.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo