Ratiba yote ya Msiba wa marehemu Abdallah Kigoda

RATIBA YA MSIBA WA MAREHEMU MHE. DKT ABDALLAH OMARY KIGODA (MB) WAZIRI WA VIWANDA NA BIASHARA TAREHE 13 - 15 OKTOBA, 2015.

JUMATANO TAREHE 14 OKTOBA, 2015
NYUMBANI KWA MAREHEMU – UPANGA

Muda
Tukio
Mhusika
Saa 1.00 – 2.00Asubuhi
Chai
Wote
Mshereheshaji
Saa 6.00 – 7.00 Mchana
Chakula cha Mchana
Wanafamilia na Waombolezaji
Saa 8.30 – 9.00 Mchana
Viongozi na Waombolezaji kuwasili JNIA Termibal I

Viongozi/Waombolezaji
Saa 9.00– 9.30Asubuhi
Mwili wa Marehemu kuwasili Uwanja wa Ndege Terminal I. 

Kamati ya Kupokea Mwili Dar/ Familia ya Marehemu
Saa 10.30.Jioni
Safari kuelekea Hospitali ya Lugalo  
Waombolezaji
ALHAMIS, TAREHE 15 OKTOBA, 2015 - VIWANJA VYA KARIMJEE
Saa 12.00 Asubuhi
Mwili kuchukuliwa Hospitali ya Lugalo na kupelekwa Msikitini Upanga

Kamati ya Mazishi na Wanandugu

Saa1.30 - 1.50 Asubuhi
Waombolezaji kuwasili katika Viwanja vya Karimjee

Kamati ya Mazishi

Saa 1.10-2.00 Asubuhi
Mawaziri/Naibu Mawaziri /Watendaji Wakuu wa Wizara na Taasisi mbalimbali kuwasili katika Viwanja vya Karimjee
Kamati ya Mazishi
Saa 2.00 – 2.15 Asubuhi
Viongozi Wakuu wa Serikali kuwasili
Kamati ya Mazishi na Mshehereshaji
Saa 2.15 – 2.25 Asaubuhi
Mwili wa Marehemu kuwasili viwanja vya Karimjee
Kamati ya Mazishi na Mshehereshaji
Saa 2.25 –2.35 Asubuhi
Wasifu wa Marehemu kusomwa
Katibu Mkuu – Wizara ya Viwanda na Biashara
Saa 2.35 – 3.15 Asubuhi
Salama za Makundi mbalimbali

·   Salamu kutoka Makundi mbalimbali
·   Salamu kutoka Mwakilishi wa Chama Tawala
·   Salamu kutoka kwa Spika
Salamu za Serikali

Makundi mengine mbalimbali
Saa 3.15 – 3.25
Viongozi wa Kitaifa kuondoka
Kamati ya Mazishi
Saa 3.30
Mwili wa marehemu kuondoka Dar es salaam kuelekea Handeni Tanga
Kamati ya Mazishi
NYUMBANI HANDENI TANGA

Saa 5.00  Asubuhi – 7.00 Mchana
Waombolezaji kuwasili nyumbani kwa marehemu Handeni Tanga
Kamati ya Mazishi
Saa 7.00 – 7.25 Mchana
Viongozi mbalimbali kuwasili nyumbani kwa marehemu
Kamati ya mazishi
Saa 7. 30
Mwili wa Marehe kuwasili nyumbani kwa marehemu Handeni
Kamati ya mazishi
Saa 8.00 – 9.00 mchana
Chakula cha mchana
Kamati ya mazishi
Saa 9.00 – 9.10
Wasifu wa Marehemu kusomwa
Katibu Mkuu – Wizara ya Viwanda na Biashara
Saa 9.10 – 10.00
Salama za Makundi mbalimbali

·   Salamu kutoka Makundi mbalimbali
·   Salamu kutoka Mwakilishi wa Chama Tawala
·   Salamu kutoka kwa Spika
·   Salamu za Serikali
Makundi mengine mbalimbali
Saa 10.00 – 10.10 Jioni 
Sala ya Maiti
Sheikh/Imam
Saa 10.10 – 10.30 Jioni
Mazishi na Nasaha
Sheikh/Imam


Saa 10.30-10.35 Jioni
Neno la Shukrani

Msemaji wa Familia
Saa 10.35-10.45 Jioni
Viongozi Kuondoka
Kamati ya Mazishi

Saa 10.45 Alasiri

Waombolezaji kuondoka makaburini

Wote



JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo