Zoezi la kutangaza matokeo ya Urais visiwani Zanzibar limeingia dosari mchana huu kutokana na kukatika kwa umeme
Hali hiyo imepelekea zoezi hilo kusitishwa kwa muda usiojulikana, na lilikuwa likifanyika katika hoteli ya Bwawani visiwani zanzibar, na hakuna maelezo yoyote yaliyotolewa na viongozi wa ZEC kuhusiana na suala hilo
Hata hivyo matokeo hayo ya majimbo kwa ngazi ya urais tu yametangazwa baada ya dakika kadhaa baadaye nishati ya umeme iliporejea, na hii ni kwa mujibu wa matangazo ya moja kwa moja yanayorushwa na kituo cha ITV
majimbo yaliyotangazwa mchana huu ni 18