Angalia Picha marehemu Christopher Mtikila mara baada ya kufa kwa ajali

Saa chache baada ya kuripotiwa kifo cha Mchungaji Christopher Mtikila kilichotokea kwa ajali ya gari huko mkoani Pwani, uthibitisho wa kifo hicho umewekwa wazi na baadhi ya vyanzo sahihi

Wa kwanza ni kamanda wa polisi mkoa wa Pwani Jafar Mohamed ambaye amesema ni kweli kifo hicho kimetokea kwa ajali ya gari kama alivyonukuliwa akizungumza na kituo cha televisheni cha ITV

Mtikila alikuwa ni mwenyekiti wa chama cha DP mpaka mauti yanamkuta leo asubuhi
IMG-20151004-WA0006


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo