Taarifa za uongo kuhusu Rambirambi za Msiba wa Mama yake Aslay

Kuna mtu anatumia akaunti feki ya msanii wa Yamoto Band Enock Bella akiomba kutumiwa rambirambi ya msiba wa mama mzazi wa Aslay Isihaka ambaye amefariki Dunia leo asubuhi, Mtu huyo anatumia namba 0716281999 na amesajili kwa jina la Aslay Isihaka tunawaomba wadau na mashabiki wa Yamoto Band na Aslay wapuuze tariifa siyo za ukweli na hakuna utaratibu wa kutuma rambirambi katika simu.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo