Mteja akihesabu fedha zake ili amkabidhi wakala wa Mpesa aweze kumuwekea kwenye akaunti yake. Hii ni kata ya Ikuwo wilaya ya makete mkoa wa Njombe, kutokana na kukosekana kwa mtandao wa simu, wananchi hao wamekuwa wakijikusanya eneo moja ambalo mtandao hupatikana kwa kusuasua kama unavyoona
Namba ya wakala wa Mpesa kama ilivyoandikwa kwenye ukingo wa kalavati katika kijiji Cha Ikuwo wilaya ya Makete Njombe(Picha na Edwin Moshi)