Jiji la Dar es Salaam, lashikilia nafasi ya sita miongoni mwa majiji yaliyoathirika na Virusi Vya Ukimwi barani Afrika

Jiji la Dar es Salaam, lashikilia nafasi ya sita miongoni mwa majiji yaliyoathirika na Virusi Vya Ukimwi barani Afrika.


Takwimu hizo zopo kwenye ripoti iliyofanywa na shirika la kimataifa la wahamiaji (IOM) uliofanywa kwenye Bandari ya Dar es Salaam na kuangalia namna jamii za watu wa maeneo ya bandari walivyo na uwezekano wa kupata maambukizi mapya ya ugonjwa huo kutokana na mwingiliano wa mataifa mbalimbali.



Viti dhidi ya ugonjwa huo vinaendelea na jamii ya kimataifa inaamini mpaka mwaka 2030 utakuwa historia ingawa kuna kazi kubwa inahitajika kufanywa ili kufikia lengo hilo la kuukabili Ukimwi


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo