BASATA Waufungia Rasmi wimbo wa Roma Mkatoliki uitwao 'Viva Roma Viva '

Baraza la Sanaa  Tanzania, Basata wameufungia rasmi wimbo wa msanii Roma Mkatoliki uitwao 'Viva Roma Viva ' na nyinginezo zenye ujumbe kama ule.
 
Basata imesema sababu kubwa ya kuufungia wimbo huo wa Roma ni kwamba hakuna ushahidi wa vitu vilivyoimbwa katika wimbo huo.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo