Wanawake wakishangilia jambo ukumbi wa Millenium Kijitonyama Dar Es Salaam
Mgombea urais CHADEMA Edward Lowassa akiwa na mgombea mwenza Juma Haji Duni
Mwenyekiti wa CHADEMA Freeman Mbowe akiteta jambo na Edward Lowassa
Mmoja kati ya walemavu walifika ukumbini hapo akiongea jambo wakati alipopewa fursa
Jackline Wolper msanii wa filamu za kibongo akizungumza kwenye mkutano huo
Mama regina Lowassa Mke wa Mgombea urais CHADEMA Edward Lowassa akizungumza ukumbini hapo