Afisa Uchanguzi Mwandamizi Deogratus Nsawagwanko akimkabidhi fomu Mgombea Urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupiti chama cha wakulima (AFP), Omari Mohamed Sombi leo katika ofisi za Tume ya uchaguzi jijini Dar es Salaam.
Afisa Uchaguzi Mwandamizi, Rafiki Kiravu akitoa maelekezo kwa Mgombea Urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia Chama cha Wakulima (AFP), Omari Mohamed Sombi kabla ya kuchukua fomu ya kuwania nafasi hiyo leo katika ofisi za Tume ya uchaguzi (NEC) jijini Dar es Salaam.
Mgombea wa Urais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania kupitia chama cha wakulima (AFP), Omari Mohamed Sombi akionesha fomu ya kuwania nafasi hiyo hapa nchini akiwonesha waandishi wa habari hawapo pichani mara baada ya kuchukua fomu hiyo katika ofisi za tume ya uchanguzi (NEC) leo jijini Dar es Salaam.
(Picha na Emmanuel Massaka,Globu ya Jamii.)