Tayari Mgombea wa CCM, John Magufuli ameshachukua fomu ya Urais katika ofisi za Tume ya Taifa ya Uchaguzi. #MgombeaUraisCCM
Magufuli: Nataka niwambie kuwa nitapeperusha vizuri bendera ya chama bila kujali vyama vyao, simuoni wa kutushinda.

Magufuli: Nataka niwahakikishie kuwa tutashinda na tutashinda kwa kishindo kikubwa ili mimi na Mh. Samia tuitumikie TZ.
Magufuli: Tusibaguane kwa imani zetu na misingi hiyo imara ambayo tumeachiwa tangu enzi za baba wa Taifa











