Kikao cha NEC CCM chaendelea mjini Dodoma

2Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiendesha kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Agosti 13, 2015, katika ukumbi uliopo Jengo la White House, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, kupitisha majina ya walioomba kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM katika majimbo mbalimbali. Kushoto ni Makamu Mwenyekiti wa CCM, Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein. na kulia ni Makamu Mwenyekiti wa CCM, Bara, Philip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.
(Picha zote na Bashir Nkoromo).
1
Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete (kushoto) akiendesha kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Agosti 13, 2015, katika ukumbi uliopo Jengo la White House, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, kupitisha majina ya walioomba kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM katika majimbo mbalimbali. Kulia kwake ni Makamu Mwenyekiti wa CCM, Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein.
8
Makamu Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, Dk. Ali Mohammed Shein akiendesha kikao Cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM (NEC), Agosti 13, 2015, wakati Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete apilokuwa hajawasili umbini. Pamoja naye ni Makamu Mwenyekiti wa CCM Bara Philip Mangula na Katibu Mkuu wa CCM, Abdulrahman Kinana.
7
Wajumbe wa NEC, Katibu wa NEC, Itikadi na Uenezi, Nape Nnauye, Katibu Mkuu wa UWT Amina Makilagi na Mwenyekiti wa Jumuia hiyo, Khadija Simba, wakijadili jambo kabla ya kikao cha NEC, kuanza katika ukumbi uliopo Jengo la White House, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma.
6
Waziri Mkuu Mizengo Pinda (kulia), Mgombea Urais mteule kwa tiketi ya CCM, John Magufuli na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar, Vuai Ali Vuai, wakifuatilia mambo mbalimbali, wakati Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiendesha kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Agosti 13, 2015, katika ukumbi uliopo Jengo la White House, Makao Makuu ya CCM mjini 
Dodoma, kupitisha majina ya walioomba kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM katika majimbo mbalimbali.
9
Wakuu wa vyombo vya habari vya CCM, Angel Akilimali (Uhuru FM) na Ramadhani Mkoma Uhuru Publications Ltd), akiwa ukumbini wakati kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM kikiendelea katika Jengo la White House, Makao Makuu ya CCM, mjini Dodoma  Agosti 13,2015.
5
Wajumbe wakiperuzi makabrasha, wakati Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete akiendesha kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, leo Agosti 13, 2015, katika ukumbi uliopo Jengo la White House, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, kupitisha majina ya walioomba kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM katika majimbo mbalimbali.
4
Wajumbe wakimsikiliza Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete wakati akiendesha kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Agosti 13, 2015, katika ukumbi uliopo Jengo la White House, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, kupitisha majina ya walioomba kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM katika majimbo mbalimbali.
3
Wajumbe wakimsikiliza Mwenyekiti wa CCM, Rais Jakaya Kikwete wakati akiendesha kikao cha Halmashauri Kuu ya Taifa ya CCM, Agosti 13, 2015, katika ukumbi uliopo Jengo la White House, Makao Makuu ya CCM mjini Dodoma, kupitisha majina ya walioomba kugombea ubunge kwa tiketi ya CCM katika majimbo mbalimbali.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo