Kazi imeanza, Shilole asema "Nikiiba mume wa mtu nisilaumiwe"

Shilole alisema kuwa adhabu aliyopewa na BASATA ni kubwa mno kiasi ambacho anashindwa kuelewa kwa kuwa sanaa ndiyo kazi inayompatia kula na hata kuwasomesha watoto wake hivyo kumfungia mwaka mzima ni kama kumtuma kutembea hata na waume za watu ili maisha yake yazidi kusonga mbele.

“ Mimi naona sasa wananituma kuanza kusaka waume za watu kwa kweli kwa sababu mwaka mzima kweli na hiyo ni kazi ambayo naitegemea kwa kila kitu katika maisha yangu kwa nini mtu usiwaze vitu vingine kama huna kazi ya kufanya jamani, yaani inaniuma sana,” . Alisema Shilole. 

Source GPL


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo