![]() |
| Mgombea Mwenza wa nafasi ya Urais kupitia Chama cha Mapinduzi ,Samia Suluhu Hassan alipowasili uwanja wa Majengo mjini Moshi kwa ajili ya mkutano wake wa kampeni wa hadhara. |
![]() |
| Wanachama wa Chama cha Mapinduzi wakiwa katika mkutano wa kampeni ya Mgombea Mwenza wa Chama cha Mapinduzi alifanya mkutano wake katika uwanja wa Majengo mjini Moshi. |
![]() |
| Mgombea Ubunge jimbo la Vunjo ,Innocent Shirima akizungumza wakati wa mkutano wa kampeni uliofanyika katika viwanja vya Majengo mjini Moshi. |
![]() |
| Mgombea Ubunge katika jimbo la Moshi mjini,Davis Mosha akizungumza katika mkutano wa kampeni wa mgombea mwenza wa Urais ,Samia Suluhu Hassan aliyeanzia kampeni zake mkoani Kilimanjaro. |
![]() |
| Mgombea Mwenza wa Urais,Samia Suluhu Hassan akizungumza katika mkutano wa kampeni uliofanyika katika uwanja wa Majengo mjini Moshi. |












