Katika picha zote zilizopigwa na waandishi wa habari waliopo jijini Arusha kushuhudia mgombea urais wa CHADEMA Edward Lowassa akitambulishwa, huwenda picha hii ikawa kivutio maana watoto hawa wamenaswa na kamera ya mwandishi wa habari huko huko jijini Arusha hii leo
Duu kweli Arusha noma.....Hadi huyu mtoto ni "pipoz pawa" au? Jionee mwenyewe
By
Edmo Online
at
Saturday, August 15, 2015
