Chuchu Hans wa Ray ajiunga na UKAWA

STAA wa filamu Bongo, Chuchu Hans ameamua kumfuata mchumba wake ambaye pia ni muigizaji, Vincent Kigosi ‘Ray’ katika vyama vinavyounda Umoja wa Katiba ya Wananchi (Ukawa).

Akizungumza Chuchu alisema kuwa kupitia Ukawa, ameamua kuingia Chama cha Demokrasia na Maendeleo (Chadema) na kuanzia sasa atambulike kama mmoja wa wanachama wa chama hicho.

“Nimeamua kumfuata mchumba wangu Ray baada ya kujiona sina chama cha kwenda, na soon nitaanza kuonekana katika magwanda,” alisema Chuchu.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo