Muda mchache baada ya Rais Jakaya Kikwete kuandika kwenye ukurasa wake wa twitter kuhamasisha wananchi wa jiji la DSM kujitokeza kujiandikisha kwenye daftari la kudumu la wapiga kura, wananchi wamegeuza eneo hilo kuwa ni la kutupia lawama na mashitaka mbalimbali kuhusu zoezi hilo.
Wengi wameonekana kumwelezea Rais Kikwete jinsi wanavyokerwa na changamoto hizo, angalia twit ya rais Kikwete na majibu ya "followers" wake hapa chini




