Picha tata za Diamond na Zari zipo hapa

zarina1
Hizi pichaz zimechukua headlines sana Instagram, zinamwonesha Diamond Platnumzakiwa na mpenzi wake, Zari the Bosslady.
Zari ana ujauzito na huenda time yoyote tukafikiwa na good news ya kujifungua kwake.
zari3
zarina1
zari4
zari2
zari5
Katika akaunti ya Zari aliweka picha na kuandika ujumbe huu >>>> “Kwa raha zetu…… vaeni madera, fungeni mikanda mpite kimya kimya Keeping it sexy and classy.#BabyBumpPhotoShoot ” >>>> @zarithebosslady 
daizar


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright 2025 EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo