Ninayo Video Ya Wajumbe Wa Halmashauri Kuu Wakiimba kuwa na Imani na Lowassa...........Wameimba mbele ya Rais Kikwete

Mambo yamekua mambo ndani ya ukumbi wa CCM huko mjini Dodoma baada ya baadhi ya wabunge walipoanzisha pambio hili  mbele  ya  Rais  Kikwete.

Mkutano  unaendelea......Tazama  video  hapo  chini.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo