Mzee Yusuph ametangaza rasmi anautaka Ubunge

kutoka kwa mwimbaji wa Taarab, Mzee Yusuph ambaye amefunguka na kusema kuwa mwaka huu anatarajia kugombea ubunge kupitia chama tawala cha Mapinduzi ‘CCM’ visiwani Zanzibar.’
Akiongea kwenye kipindi cha AMPLIFAYA july 8, 2015 ‘Mimi chama changu ni chama cha mapinduzi chama tawala chama ambacho ndicho nilikuwa nacho miaka yote chama ambacho mama yangu ameniambia ndio chama change kabla sijawa mwana siasa matatizo ni mambo ya kawaida kama na hivi ni vyama vingine ni changamoto tu’ – Mzee Yusuph
Kama sisi kwenye taarabu utakuta mwanamuziki huyo lazima amponde msanii mwenzake au ana msema uzuri au ana mfurahia kwa hiyo hata huku kwenye siasa hivyo vitu vipo si kila aliyekuwa CCM ana matatizo bali mtu mwenyewe ndio ana matatizo binafsi chama kinachotawala Zanzibar ni CCM, CUF ni wapinzani siogopi hilo na kwasababu CCM imetawala CCM ni namba moja pale sasa ni chachu kuifanya na CCM iwe na wafuasi zaidi pengine nitakuwa na watu ambao wakusaidia chama kile na maendeleo zaidi’– Mzee Yusuph


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo