Mwenyekiti wa CCM mkoa wa Singida ahukumiwa kwenda jela miaka 2 au kulipa faini ya Tsh 70,000 (elfu sabini) baada ya kukiri kosa la kusababisha kifo kwa uendeshaji wa kizembe.
Hii metokea katika Mahakama ya Hakimu mkazi Wilaya ya Manyoni Mkoani Singida.
Hata hivyo alifanikiwa kukwepa kifungo jela baada ya kulipa faini
Hata hivyo alifanikiwa kukwepa kifungo jela baada ya kulipa faini
Chanzo: Nipashe