Mh John Shibuda ameandika barua kamati kuu ya chadema ya kuomba kukoma kuwa mwanachama waChadema baada ya bunge hili kuvunjwa.
Kamatikuu ya Chama imeridhia na kumtakia safari njema,na mafanikio mema huko aendako.
Kwa muda mrefu Mbunge John Shibuda amekuwa na mgogoro wa kimyakimya na Chama Chake.
