Matokeo ya ubunge Chadema mkoa wa Iringa

a) Jimbo la Isimani 1.Patrick ole Sosopi 101 2.Widmani Masika 31 Jumla,142 

b) Jimbo la Iringa Mjini 1.Mch.Peter Msigwa 177 2.Leonce Marto 18, Imeharibika 1 jumla 196 

c) Jimbo la mfindi kusin 1. Frank Malata 69 2.Oliva lema 27 3.Crepton Madunda 18 4.Mustafa msovera 12 Wajumbe walikuwa 126 

d) Jimbo la Kalenga 1.Sinkala Lukasi Mwenda 64 2.Musa Mdede 64 3.Grace Tendega 27 4.Mwanakhamis Myinga 16, Jumla 171 

Viti maaulumu kalenga 1) Grace Tendega 30 2)Mwanakhamis Myinga 11 Jumla 41 


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo