Fanyeni yote ila msituvurugie amani ya nchi yetu. Nyie mtakuwa na uwezo wa ku-flee, wananchi wa kawaida wataumia.
— Jokate Mwegelo (@jokateM) July 28, 2015
CDM na Ukawa kama kweli ndio mmenunuliwa na mabilioni from EL. Hamtufai. Na muone aibu. Hamna Jipya. Ni wasaliti kuliko hao mliowapinga.
— Jokate Mwegelo (@jokateM) July 28, 2015
kuenda mbele au kutokomea gizani.
uamuzi ni wako
kura yako ndio silaha yako!!
— POWER MABULAH (@IamNchaKALIH) July 28, 2015
Umejua kitu cha kutofanya. (Cha kufanya ni Kupiga Kura) https://t.co/EcodmZyHtT
— Lusajo L.M. #77 (@Sajjo) July 28, 2015
