"Kuna maridhiano bado hatujafikia, tutafikia muafaka 14/7/2015 na tunaomba Watanzania wasiwe na wasiwasi wawe na subra " Prof Lipumba
— CHADEMA MEDIA (@ChademaMedia) July 11, 2015
"Watanzania wasubiri rais atakaye tokana na UKAWA, Hatuwezi kuwaangusha watanzania, tutafanya mabadiliko kwenye nchi yetu" -Prof Lipumba
— CHADEMA MEDIA (@ChademaMedia) July 11, 2015