Mbunge wa jimbo la Kahama mkoani Shinyanga, Mhe. James Daudi Lembeli ametangaza rasmi hii leo kuachana na Chama cha Mapinduzi (CCM) na kujiunga na Chama cha Demokrasia na Maendelo (CHADEMA)
Lembeli ametangaza maamuzi yake hayo leo jijini DSM katika makao makuu ya Chadema Kinondoni jijini Dar es Salaam
Miongoni mwa sababu zilizomfanya kuhama CCM amesema ni kutoridhishwa na mchakato wa kumpata mgombea urais kupitia chama cha mapinduzi CCM uliofanyika hivi karibuni Mkoani Dodoma
Taarifa zaidi zitakujia hapa hapa Eddy Blog
