Makada 17 CHADEMA Kumkabili Ndassa


MAKADA 17 wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) wametangaza nia ya kuchukua fomu za kugombea nafasi ya ubunge  jimbo la Sumve linaloongozwa na Richard Ndassa (CCM).
 
Akizungumza katika mkutano wa hadhara uliofanyika juzi Wilaya ya Kwimba, Katibu wa Jimbo la Sumve, Cosmas Jilala,   aliwataja baadhi ya makada hao kuwa ni  Mpelwa  Kalungubhale, Ng’holo Malimi, Madaka Sunday, Emanuel Solo,  Longino Kusekwa , Emanuel Mahahela na Cosmas Makune.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo