Mkurugenzi wa Umoja wa vilabu vya waandishi wa habari Tanzania (UTPC) Abubakar Karsan akizungumza kwenye mkutano huo.
Makamu wa rais wa umoja wa vilabu vya waandishi wa habari Tanzania Jane Mihanji ambaye pia ni msimamizi wa Uchaguzi, akitoa maelezo ukumbini.
Baadhi ya waandishi wa habari kutoka Njombe Press Club wakifuatilia yanayoendelea.
Chama cha waandishi wa habari mkoa wa Njombe, hii leo kitafanya uchaguzi mkuu wa viongozi wake katika ukumbi wa Dosmeza mkoani Njombe.