REDIO ILIYOTANGAZA KUPINDULIWA RAIS NKURUNZIZA YACHOMWA MOTO, ANGALIA PICHA

Kama ulipitwa na hii Breaking News kutoka Bujumbura Burundi asubuhi ya May 14 2015 zilitoka taarifa kwamba raia hawatoki nje, milio ya risasi inasikika, Wanajeshi watiifu wa Rais wanapambana na waliotangaza kumpindua juzi.

Pia kituo binafsi cha Radio kilichotumika kutangaza mapinduzi ya kijeshi kilichomwa moto saa tisa usiku wa kuamkia May 14 2015 na Wanajeshi wanaomtii Rais lakini hakuna yeyote aliyejeruhiwa wala kupoteza maisha.
Screen Shot 2015-05-14 at 12.35.36 PM
Wa kwanza kushoto ndio Jenerali mwenyewe aliyetangaza mapinduzi, hapa ndio alikua anaondoka kwenye jengo hilo muda mfupi baada ya kutangaza mapinduzi.
Screen Shot 2015-05-14 at 12.36.06 PM
Jengo la Radio kabla ya kuchomwa moto.
Screen Shot 2015-05-14 at 12.36.24 PM
Screen Shot 2015-05-14 at 12.36.35 PM
Hii picha ni wakati Meja Jenerali Godefroid Niyombareh akitangaza mapinduzi hayo kwenye Radio.
CHANZO: MILLARDAYO


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo