Jeshi la umoja wa mataifa linalolianda amani kaskazini mashariki mwa nchi ya kongo DRC wameanza harakati za kusafirisha miili ya askari wawili wa kitanzania kuja kuzikwa nyumbani baada ya kuuwawa katika shambulio la kigaidi huko beni.
Askari wa Jeshi la Tanzania wakiaga miili ya askari waliofariki huko DRC.