HAKIMU HUKO ARUSHA AGUSHI NYARAKA ZA SERIKALI NA KUJIPATIA MILIONI 200

Hakimu mstaafu wa Mahakama ya Mkoa Arusha, Keenja Manase amepandishwa Mahakama kwa kosa la kughushi nyaraka za Serikali na nyaraka za Serikali na kujipatia Mil. 200.
Manase alisomewa mashitaka hayo matatu mbele ya Mahakimu watatu tofauti, akashindwa kutekeleza msharti ya dhamana kwa Hakimu mmoja, muda mfupi baadae akapandishwa Mahakamani na kusomewa mashitaka mengine.
Shitaka la mwisho kusomewa ilikuwa kesi ya kughushi na kuandika nakala ya barua yenye mhuri wa Jiji la Arusha.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo