Hii imewavutia wengi mitandaoni mtu wangu, ukiangalia picha na video za mapacha hawa watatu utavutiwa na jinsi harusi yao ilivyoweza kuwa ya kuvutia wengi baada ya kuifanya huku wakiwa wamefanana kila kitu.
Kufanana kwa wasichana hao kulifanya hata wanaume zao kujichanganya wakati mwingine siku ya ndoa.
Rafael, Rochele na Tagiane ni mapacha watatu wa Brazil… wako kwenye headlines leo, baada ya kuamua kushare pamoja siku yao ya kufunga ndoa.. wamefanana kila kitu yani.
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube