Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Katibu Mkuu wa CHADEMA, DR. Wilbroad Slaa katika mazishi ya babamkwe wake yaliyofanyika kwenye Makaburi ya Segerea jijini Dar es salaam Aprili 4, 2015.. Kushoto ni Katibu Mkuu wa CUF, Seif Sjharif Hamad.
Waombolezaji wakisoma dua ya kumwombea marehemu Abdallah Rehani, Baba Mzazi wa Mke wa Waziri Mkuu, nyumbani kwa Marehemu, Tabata jijini Dar es sAlaam Aprili 4, 2015.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akisalimiana na Katibu Mkuu wa CUF na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar,Seif Sharif Hamad (katikati) na Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Iddi katika mazishi ya Baba mkwe wake yaliyofanyika kwenye makaburi ya Segerea Jijini Dar es salaam Aprili 4, 2015
Waombolezaji wakizika mwili wa baba mzazi wa mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda , Marehemu Abdallah Rehani kwenye Makaburi ya Segerea jijini Dar es salaam, Aprili 4, 2015.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda akishiriki katika mazishi ya Baba Mkwe wake , Marehemu Abdallah Rehani kwenye makaburi ya Segerea jijini Dar es salaam Aprili 4, 2015.
Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar, Seif Sharif Hamad akishiriki katika mazishi ya Baba mzazi wa Mke wa Waziri Mkuu, Marehemu Abdallah Rehani kwenye makaburi ya Segerea jijini Dar es salaam Aprili 4, 2015.
Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Iddi akishiriki katika mazishi ya Baba mzazi wa Mke wa Waziri Mkuu, Marehemu Abdallah Rehani kwenye makaburi ya Segerea jijini Dar es salaam Aprili 4, 2015.
Katibu Mkuu wa CHADEMA, Dr. Wilbroad Slaa akishiriki katika mazishi ya baba mzazi wa Mke wa Waziri Mkuu, Marehemu Abdallah Rehani yaliyofanyika kwenye makaburi ya Segerea jijini Dar es salaam Aorili 4
Baadhi ya Viongozi wa Vyama vya Siasa na Serikali walioshirikikatika mazishi ya Baba Mzazi wa Mke wa Waziri Mkuu, Marehemu Abdallah Rehani yaliyofanyika kwenye makaburi ya Segerea jijini Dar es salaam Aprili 4, 2015.
Waziri Mkuu, Mizengo Pinda na Makamu wa Kwanza wa rais wa Zanziba Seif Sharif Hamad wakitoka kwenye eneo la makaburi ya Segerea jijini Dar es slaam baada ya mazishi ya baba mzazi wa Mke wa Waziri Mkuu, Marehemu Abdallah Rehani Aprili 4, 2015. Kushoto ni Waziri Mkuu, Mstaafu, Frederick Sumaye na na mwenye koti jeusi katikati ni Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar, Balozi Seif Iddi.
Spika wa Bunge Anne Makinda akimpa pole mke wa Waziri Mkuu, Mama Tunu Pinda (kulia) ambaye alifiwa na baba yake Mzazi, Mzee Abdallah Rehani , Nyumbani kwa marehemu,Tabata jijini Dar es salaam Aprili 4, 2015 . Wengine pichani ni ndugu wa karibu wa Mama Pinda.