Wafanyabiashara wa Kariakoo Waendelea Na Mgomo Kushinikiza Mahakama Imwachie Huru Mwenyekiti Wao



Wafanyabiashara wa eneo la Kariakoo Jijini Dar es Salaam wamefunga maduka yao hii leo, kushinikiza mahakama kumuachia huru Mwenyekiti wa Jumuiya ya Wafanyabiashara nchini Johnson Minja.

Hapo jana Mahakama Mkoa wa Dodoma ilimfutia dhamana Minja kutokana na kukiuka masharti ya dhamana aliyopewa ikiwemo ya kutowazuia wafanyabiashara kufunga maduka yao wakati kesi yake inaposikiliwa mahakamani.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo