VIDEO: Rais Kikwete Aifariji Familia ya Marehemu Kapten John Komba

Rais Jakaya Mrisho kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo alipokwenda kutoa pole na kuifariji familia ya Mbunge wa Mbinga Magharibi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Marehemu Kepteni John Komba aliyefariki dunia juzi, nyumbani kwa marehemu Mbezi kwa Komba jijini Dar es salaam jana March 1, 2015.

Rais Jakaya Mrisho kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo alipokwenda yeye na Mama Salma Kikwete kutoa pole na kuifariji familia ya Mbunge wa Mbinga Magharibi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Marehemu Kepteni John Komba aliyefariki dunia nyumbani kwa marehemu Mbezi kwa Komba jijini Dar es salaam March 1, 2015.

Mke wa Rais Mama Salma Kikwete akiweka saini katika kitabu cha maombolezo walipokwenda kutoa pole na kuifariji familia ya Mbunge wa Mbinga Magharibi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Marehemu Kepteni John Komba aliyefariki dunia, nyumbani kwa marehemu Mbezi kwa Komba jijini Dar es salaam March 1, 2015.
Rais Jakaya Mrisho kikwete na mkewe Mama Salma kikwete wakimfariji familia ya Mbunge wa Mbinga Magharibi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Marehemu Kepteni John Komba aliyefariki dunia, nyumbani kwa marehemu Mbezi kwa Komba jijini Dar es salaam March 1, 2015.
Fedrick Sumaye akimpa pole mfiwa mke wa Marehemu bi Salome John Komba.Mbunge wa Jimbo wa Arumeru Mashariki Joshua Nassari akiandika katika kitabu cha maombolezo.
 
Rais Jakaya Mrisho kikwete na mkewe Mama Salma kikwete wakiwafariji wasanii wa Tanzania One Theatre kufuatia kifo cha kiongozi wao,  Mbunge wa Mbinga Magharibi na Mjumbe wa Halmashauri Kuu ya CCM Marehemu Kepteni John Komba aliyefariki dunia, nyumbani kwa marehemu Mbezi kwa Komba jijini Dar es salaam March 1, 2015.
Spika wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Anna Makinda(kushoto)akimpa pole Hadija Kopa msanii wa Taarabu nyumbani kwa kapteni Komba.
Katibu uenezi wa Itikadi chama cha CCM Nape Nauye akiwapa mkono wa pole wasanii wa bendi ya (TOT) ya Marehemu Kapteni John Komba aliyokuwa akiimbia.
Dr. Jakaya Kikwete akiwa msibani kwa Marehemu John Komba-Mbezi Tangi bovu.
Waombolezaji wakiwa msibani
Aliyekuwa Waziri Mkuu wa Tanzania, Edward Lowassa, akisalimiana na Asha Baraka msibani hapo.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo