PICHA:RAIS JAKAYA KIKWETE ASHIRIKI KUAGA MWILI WA MAMA MZAZI WA MKURUGENZI MKUU WA TAKUKURU DR EDWARD HOSEA

Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakitoa heshima zao za mwisho kwa Marehemu Esther Gigwa Hosea, Mama Mzazi wa Mkurugenzi Nkuu wa TAKUKURU, Dkt Edward Hosea huko Masaki jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete wakimfariji Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Dkt Edward Hosea Msaki jijini Dar es salaam walipofika heshima zao za mwisho kwa mama yake mzazi Marehemu Esther Gigwa Hosea huko Masaki jijini Dar es salaam.
Rais Jakaya Mrisho Kikwete na Mama Salma Kikwete pamoja na Makamu wa Rais Dkt Mohamed GhariB Bilali, Katibu Mkuu kiongozi Balozi Ombeni Sefue wakiwa pamoja na wafiwa wakati wa kuaga mwili wa Marehemu EstherGigwa Hosea, Mama Mzazi wa Mkurugenzi Mkuu wa TAKUKURU, Dkt Edward Hosea huko Masaki jijini Dar es salaam.
Sehemu ya wafiwa na waombolezaji wakati wa kuaga mwili wa Marehemu Esther Gigwa Hosea, Mama Mzazi wa Mkurugenzi Nkuu wa TAKUKURU, Dkt Edward Hosea huko Masaki jijini Dar es salaam.Picha na IKULU


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo