Picha za tukio la Moto Mabibo Hostel Dar

Imeripotiwa muda mfupi uliopita kuhusu tukio la moto katika Hostel za Mabibo ambapo wanaishi wanafunzi wa Chuo Kikuu Dar es Salaam.
Taarifa za awali zinasema kuwa chanzo cha moto huo ni shoti ya umeme, hakuna taarifa ya mtu yoyote kuathirika na moto huo mpaka sasa.
Naendelea kufuatilia tukio hili, nitakufikishia taarifa yote muda wowote kuanzia sasa pamoja na picha zaidi.
Fire
Mabibo
IMG-20150316-WA0007


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo