Ndege ya Jeshi Yaanguka na kuwaka moto jijini Mwanza.....Rubani Anusurika, Angalia picha

Ndege ya kijeshi imeanguka jana uwanja wa ndege wa Mwanza na kuwaka moto wakati inatoka kaskazini mwa uwanja huo kuelekea kusini ambapo rubani wake, Peter Augustino Lyamunda, amevunjika mguu.
 
Chanzo cha ajali hiyo ni ndege (mnyama) aliyeingia kwenye moja ya  injini za ndege hiyo ilipotaka kuruka,  ikashindwa na kuanguka.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo