skip to main |
skip to sidebar
BODI YA CHAKULA, DAWA NA VIPODOZI ZANZIBAR YAANGAMIZA UNGA WA NGANO TANI 70 AMBAO HAUFAI KWA MATUMIZI YA BINADAMU
Unga wa ngano mbovu tani 70 uliokamatwa ukiwa sokoni na mafisa
wa Bodi ya Chakula, Dawa na Vipodozi Zanzibar ukimwangwa eneo la
Zingwezingwe Mkoa wa Kaskazini ''B'' Unguja tayari kawa kuangamizwa.
![https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiwDJW9N6lR0xcgegf1fE3S8V1prAuaaIEBLOvTj-ISWvhPf7sRKJeEnBeOOa1PDPFj-p59sjRQipZwrzlUM_6PAM5H4-M5IpL977GZ29qbdlRS3Ixuv7I2VFyxHUl6ero8k2gqCCdJuQ4/s1600/unnamed+(26).jpg](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEiwDJW9N6lR0xcgegf1fE3S8V1prAuaaIEBLOvTj-ISWvhPf7sRKJeEnBeOOa1PDPFj-p59sjRQipZwrzlUM_6PAM5H4-M5IpL977GZ29qbdlRS3Ixuv7I2VFyxHUl6ero8k2gqCCdJuQ4/s640/unnamed+(26).jpg)
Kijiko likichukua mchanga kuchanganya na unga ulioharibika kwa
lengo la kuangamiza katika kijiji cha Zingwezingwe Mkoa wa Kaskazini
''B'' Unguja.Picha na Makame Mshenga-Maelezo Zanzibar.
![https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjRBcsGEMtroCEP1CSB3Ckiggs3ksB3_IoQbGuoH__zFkF9s_8c3Aek0WFp0u4b6F7bx4gYT0c_jU6Za0M3QKxxxllx0rNDj7fZJXgYoOjTcA4KRghyUCmzse-z6yA29UacJp6wE2jdGlU/s1600/unnamed+(24).jpg](https://blogger.googleusercontent.com/img/b/R29vZ2xl/AVvXsEjRBcsGEMtroCEP1CSB3Ckiggs3ksB3_IoQbGuoH__zFkF9s_8c3Aek0WFp0u4b6F7bx4gYT0c_jU6Za0M3QKxxxllx0rNDj7fZJXgYoOjTcA4KRghyUCmzse-z6yA29UacJp6wE2jdGlU/s640/unnamed+(24).jpg)
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi