Askari wa JKT Wakusanyika Muhimbili Kumjulia Hali Mwenyekiti wao Aliyetekwa

Vijana mbalimbali ambao walipata mafunzo kutoka Jeshi la Kujenga Taifa (JKT), jana wamekutana katika eneo la Msimbazi Center jijini Dar es Salaam, kisha kuelekea katika Hospitali ya Taifa ya Muhimbili kwa ajili ya kumjulia hali mwenyekiti wao George Mgoba ambaye alitekwa na watu wasiojulikana.
Mwenyekiti wa JKT, George Mgoba akiwa wodini.
Askari wakiimarisha usalama eneo la Hospitali ya Muhimbili.
Baadhi ya wanajeshi wa JKT wakiingia hospitalini.
Baadhi ya wanajeshi wa JKT wakiingia hospitalini.
Baadhi ya askari wa JKT wakiwasili Muhimbili.


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo