RAIS KIKWETE AHANI MSIBA WA SHEIKH ALI MZEE KOMORIAN KARIAKOO, DAR ES SALAAM


unnamed3 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiifariji familia ya Marehemu Sheikh
Ali Mzee alipokwenda kuhani msiba huo jana Jumapili Desemba 29, 2014.
Marehemu Sheikh Komorian  alifariki juzi Jumamosi Desemba 28, 2014 na kuzikwa Jumatatu Desemba 29, 2014 unnamed1Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiifariji familia ya Marehemu Sheikh
Ali Mzee alipokwenda kuhani msiba huo jana Jumapili Desemba 29, 2014.
Marehemu Sheikh Komorian alifariki juzi Jumamosi Desemba 28, 2014 na kuzikwa  Jumatatu Desemba 29, 2014 unnamed2:Rais Jakaya Mrisho Kikwete akishiriki katika dua na familia ya
Marehemu Sheikh Ali Mzee alipokwenda kuhani msiba huo jana Jumapili Desemba 29, 2014. Marehemu Sheikh Komorian
 alifariki juzi Jumamosi Desemba 28, 2014 na kuzikwa jana Jumatatu
Desemba 29, 2014


JIUNGE NA EDMO BLOG SASA

Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube

Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi



 
© Copyright EDMO BLOG | Designed By Peruzibongo