skip to main |
skip to sidebar
Alichosema Diamond Platnumz baada ya Jokate kuingia mkataba wa kibiashara na kampuni toka CHINA
Baada ya mwanadada Jokate kupitia kampuni yake ya KIDOTi kuingia mkataba mnono wa bidhaa zake na kampuni ya wachina, msanii Dimaond Platnumz amefunguka haya yafuatayo…
“..Kama muekezaji wa nje ameweza kuona Potential na
kumuamini kidoti na kuamua kuwekeza kwenye bidhaa zake...kwanini sisi
tusimuamini???.. nafikiri huu ni wakati muafaka wa kuanza kuthamini na
kusupport brand zetu za nyumbani.. Hongera sana Kate... sema sasa
ututolee bidhaa nzuri kweli, sio tena ukale hela za mchina wa watu
halafu ukatutolee maruerue! utegemee support yetu ..” – Diamond Platnumz
Wewe una maoni gani?
JIUNGE NA EDMO BLOG SASA
Usipitwe!! Jiunge nasi kupitia Facebook,Twitter na Instagram ili kupata habari zote za town! Usikose kujiunga na Youtube kuangalia video zote kali kutoka Edmo Blog Pekee!, kujiunga bonyeza hapa>>>Youtube
Tupe Maoni Yako lakini Usiandike Matusi